Kamanga ni kijiji katika Wilaya ya Sengerema, Kanda ya Ziwa, chenye idadi ya watu karibu 5,000.

Kiko kando ya vijiji vingine vinne, ambavyo kwa jumla vinaunda kata ya Nyamatongo. Kata hiyo ina wakazi karibu 30,000.[1]

Marejeo hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-10-26. Iliwekwa mnamo 2020-09-09.
  Kata za Wilaya ya Sengerema - Mkoa wa Mwanza - Tanzania  

Bitoto | Busisi | Buyagu | Buzilasoga | Chifunfu | Ibisabageni | Ibondo | Igalula | Igulumuki | Kagunga | Kahumulo | Kasenyi | Kasungamile | Katunguru | Kishinda |Mission |Mwabaluhi | Nyamatongo | Nyamazugo | Nyamizeze | Nyampande | Nyampulukano |Nyatukara | Sima | Tabaruka

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kamanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.