Vita vya Wakamba

(Elekezwa kutoka Kamba war)

Vita vya Wakamba ni jina lililotumiwa na wanahistoria kumaanisha migogoro iliyotokea mwanzoni mwa karne ya 19 kati ya Wakamba na wakazi wa mikoa inayokaribiana na Bagamoyo ya sasa, Tanzania. [1][2][3]

Imeelezwa kwamba uvamizi wa Wakamba ililazimisha wakazi wanaoishi maeneo hayo kuungana kumpiga adui wao mmoja na muungano huo ulisababisha uundaji wa kabila la Wazaramo wanaojulikana kuwa ndio kabila kubwa kwenye maeneo yanayozunguka mkoa wa Dar es Salaam[4] .

Marejeo

hariri
  1. read.dukeupress.edu. doi:10.1215/00141801-1536912 https://read.dukeupress.edu/ethnohistory/article/59/2/353/9071/The-Kamba-War-Foundation-Narratives-Ethnogenesis. Iliwekwa mnamo 2023-05-14. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)
  2. Jerman, Helena (1997). Between Five Lines: The Development of Ethnicity in Tanzania with Special Reference to the Western Bagamoyo District. Finland: Nordic Africa Institute. p. 134. I
  3. Owens, Geoffrey Ross (2012-04-01). "The Kamba War: Foundation Narratives, Ethnogenesis, and the Invention of the Zaramo in Precolonial East Africa". Ethnohistory (kwa Kiingereza). 59 (2): 353–385. doi:10.1215/00141801-1536912. ISSN 0014-1801.
  4. Fabian, Steven (2019). Making Identity on the Swahili Coast: Urban Life, Community, and Belonging in Bagamoyo. Cambridge: Cambridge University Press. p. 41. ISBN 9781108492041.
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vita vya Wakamba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.