Kamet ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 7,756 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Mlima Kamet na milima mingine ya Uhindi, 1908

Uko nchini India.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kamet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.