Kana ya Galilaya (kwa Kigiriki: Κανὰ τῆς Γαλιλαίας) ni kijiji kinachotajwa mara kadhaa na Injili ya Yohane.

Kana ya Galilaya katika picha iliyopigwa na Daniel B. Shepp, mwaka 1894.

Humo tunasoma juu ya miujiza miwili ya Yesu:

Pia kinatajwa kama asili ya Nathanaeli (21:2)[2].

Tanbihi

hariri
  1. Towner, W. S. (1996), Wedding, in P. J. Achtermeier (Ed.), Harper Collins Bible dictionary (pp. 1205–1206). San Francisco: Harper
  2. Ewing, W. (1915). "Kanah". Katika Orr, James (mhr.). International Standard Bible Encyclopedia. Iliwekwa mnamo 2014-05-28.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kana kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.