Kanisa la Kiorthodoksi la Siria


Kanisa la Kiorthodoksi la Siria ni mojawapo kati ya yale ya Waorthodoksi wa Mashariki.

Undani wa kanisa la Mt. Stefano huko Gütersloh, Ujerumani.

Asili yake ni nchi za Siria, Uturuki na Iraq za leo, lakini kwa sasa waamini wengi zaidi wanaishi India au wametokea nchi hiyo. Wengi kati ya wale wa eneo asili walilazimika kuhama katika karne ya 20, wakaeneza imani na mapokeo yao duniani. Kwa jumla wako milioni moja unusu.

Tangu mwaka 1959 makao makuu yako Damasko.

External links hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Malankara Syriac Orthodox Church / Jacobite Syrian Church, AD 52

Mahusiano na Kanisa Katoliki hariri

Vyombo vya habari
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanisa la Kiorthodoksi la Siria kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.