Kapan (Kiarmenia Կապան) jina la zamani Ghapan, Ghap’an, Kafin, Kafan, Katan, Qafan, Zangezur, na Madan) ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Syunik huko nchini Armenia. Miji upo kilomita 316 kutoka mji mkuu wa nchi Yerevan, na takriban kilomita 1 kutoka mjini Kashatagh.

Mji wa Kapan

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kapan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.