Karen Holmgaard

Mchezaji wa mpira wa miguu Denmark

Karen Rosted Holmgaard (alizaliwa 28 Januari 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Udeni ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya Everton inayoshiriki katika Ligi ya Wanawake ya FA Uingereza (WSL)[1] na timu ya taifa ya Denmark.

Marejeo hariri

  1. "Drømmen om udlandet gik i opfyldelse". kvindeliga.dk (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karen Holmgaard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.