Karl von Frisch
Karl von Frisch (20 Novemba 1886 – 12 Juni 1982) alikuwa mwanazuolojia kutoka nchi ya Austria lakini hasa alifanya kazi nchini Ujerumani. Hasa alichunguza tabia za samaki na za nyuki. Mwaka wa 1973, pamoja na Konrad Lorenz na Nikolaas Tinbergen alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karl von Frisch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |