Katherine Anne Porter

Katherine Anne Porter (15 Mei 189018 Septemba 1980) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1966, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa mkusanyiko wa hadithi fupi zake The Collected Stories of Katherine Anne Porter.

Faili:Katherine Anne Porter.jpg
Katherine Anne Porter mnamo 1930
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katherine Anne Porter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.