Katrin Prühs

Katin Pruhs ( alizaliwa 9 Januari 1962) ni mchezaji wa soka wa zamani wa nchini Ujerumani na ambaye alicheza kama mshambuliaji kwenye timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.[1]

Katrin Prühs (safu ya mbele, wa pili kutoka kulia, akipiga magoti) akiwa na timu ya wanawake ya Polizei SV Rostock mnamo 1995.
Katrin Prühs (safu ya mbele, wa pili kutoka kulia, akipiga magoti) akiwa na timu ya wanawake ya Polizei SV Rostock mnamo 1995.

MarejeoEdit

  1. (2011) Frauenfußball von A – Z: Das Lexikon des deutschen Frauenfußballs. Schlütersche. ISBN 978-3-86910-938-1. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katrin Prühs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.