Kevin Spacey Fowler, CBE (heshima) (alizaliwa Julai 26, 1959) ni mwigizaji, mwongozaji, mwandishi wa habari na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Marekani.

Kelvin Spacey
Kelvin Spacey

Maisha ya mapema

hariri

Spacey alizaliwa kusini mwa Orange, New Jersey. Alihamia kusini mwa California akiwa na miaka minne. Jina "Spacey" lilikuwa jina la bibi yake, aliiita kama jina hilo kuigizia akiwa shuleni .Alifanya kazi kama mwigizaji katika ukumbi wa michezo kabla ya kufanya kazi katika sinema na maonyesho.

Hatua za mapema za kazi

hariri

Kuonekana kwake kwenye jukwaa kwa mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1981. Alikuwa msaidizi mhusika asiyekuwa na umuhimu mkubwa katika utendaji wa tamasha la New York Shakespeare la Henry VI, Sehemu ya kwanza.

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kevin Spacey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.