Kiadithinngithigh
Kiadithinngithigh (pia Kiadetingiti au Kiaritinngitigh) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waadithinngithigh kwenye rasi ya Cape York katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiadithinngithigh ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadithinngithigh iko katika kundi la Kipama cha Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiadithinngithigh kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiadithinngithigh Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiadithinngithigh katika Glottolog
- lugha ya Kiadithinngithigh katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiadithinngithigh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |