Queensland ni moja ya majimbo manane ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,827,200 (Machi 2016). Mji wake mkuu ni Brisbane.

Sehemu ya Queensland
Palipo na doa jekundu ndiyo ukubwa wa eneo la Queensland

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Queensland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Majimbo na maeneo ya Australia
 
Australia Kusini | Australia ya Magharibi | Australian Capital Territory | New South Wales | Northern Territory | Queensland | Tasmania | Victoria