Kiagariya
Kiagariya ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Waagariya. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiagariya imehesabiwa kuwa watu 72,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiagariya iko katika kundi la Kimunda.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiagariya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiagariya Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiagariya katika Glottolog
- lugha ya Kiagariya kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiagariya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |