Kiaheu ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai na Laos inayozungumzwa na Waaheu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiaheu imehesabiwa kuwa watu 450 nchini Uthai na wasemaji 250 nchini Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaheu iko katika kundi la Kiviet-Muong.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaheu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.