Kiahirani ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Waahirani. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiahirani imehesabiwa kuwa watu 1,870,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiahirani iko katika kundi la Kikhandesi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiahirani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.