Kiaja ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Waaja. Isichanganywe na lugha ya Kiaja nchini Benin na Togo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiaja imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kwa hiyo lugha ya Kiaja imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaja iko katika kundi la Kikresh.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaja (Sudan) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.