Kiaja (Benin)

Lugha

Kiaja ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Togo inayozungumzwa na Waaja. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiaja nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 360,000. Pia kuna wasemaji 162,000 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaja iko katika kundi la Kikwa.

Enezi la lugha za Kigbe pamoja na Kiaja, 1988

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaja (Benin) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.