Kialngith
Kialngith ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waalngith kwenye rasi ya Cape York katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kialngith ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialngith iko katika kundi la Kipama cha Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kialngith kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kialngith
- lugha ya Kialngith katika Glottolog
- lugha ya Kialngith katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kialngith kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |