Kialtai-Kaskazini ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Waaltai. Ni tofauti na lahaja za Kialtai-Kusini. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa lugha hizo mbili za Kialtai imehesabiwa kuwa watu 57,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialtai za Kaskazini iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kialtai-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.