Kialtai-Kusini
Kialtai-Kusini ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Waaltai. Ni tofauti na lahaja za Kialtai-Kaskazini. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa lugha hizo mbili za Kialtai imehesabiwa kuwa watu 57,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialtai-Kusini iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kialtai za Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kialtai za Kusini Archived 20 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kialtai za Kusini katika Glottolog
- lugha ya Kialtai za Kusini kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kialtai-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |