Kialtai-Kusini

(Elekezwa kutoka Kialtai ya Kusini)

Kialtai-Kusini ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Waaltai. Ni tofauti na lahaja za Kialtai-Kaskazini. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa lugha hizo mbili za Kialtai imehesabiwa kuwa watu 57,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialtai-Kusini iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kialtai-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.