Kialyawarr
Kialyawarr ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waalyawarr katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kialyawarr ilihesabiwa kuwa watu 1660. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialyawarr kiko katika kundi la Kiarandiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kialyawarr kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kialyawarr Ilihifadhiwa 15 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kialyawarr katika Glottolog
- lugha ya Kialyawarr katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kialyawarr kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |