Kiamba (Visiwa vya Solomon)

Kiamba ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waamba kwenye kisiwa cha Utupua. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiamba imehesabiwa kuwa watu 590. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamba iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiamba (Visiwa vya Solomon) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.