Kiangkamuthi (pia Kianggamuthi) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waangkamuthi kwenye rasi ya Cape York katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiangkamuthi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiangkamuthi iko katika kundi la Kipama cha Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiangkamuthi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.