Kiareba ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waareba katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiareba ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiareba kiko katika kundi la Kipama cha Norman.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiareba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.