Kiarem ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Waarem. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiarem imehesabiwa kuwa watu 20 nchini Vietnam na watu 20 tena nchini Laos, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarem iko katika kundi la Kichut.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiarem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.