Kias ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waas kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kias imehesabiwa kuwa watu 230 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kias iko katika kundi la Kiraja-Ampat.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kias kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.