Kiashkun ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan inayozungumzwa na Waashkun. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiashkun imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiashkun iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiashkun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.