Kiasuri
Kiasuri ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Waasuri. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiasuri imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiasuri iko katika kundi la Kimunda.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiasuri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiasuri Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiasuri katika Glottolog
- lugha ya Kiasuri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiasuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |