Kiatampaya

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiatampaya ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waatampaya kwenye rasi ya Cape York katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiatampaya ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiatampaya kiko katika kundi la Kipama cha Kaskazini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiatampaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.