Kiatong (Uhindi)
Kiatong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Bangladesh na Uhindi inayozungumzwa na Waatong. Isichanganywe na lugha ya Kiatong inayozungumzwa nchini Kamerun. Idadi ya wasemaji wa Kiatong imehesabiwa kuwa watu 5400 nchini Bangladesh na 4600 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiatong iko katika kundi la Kikoch.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiatong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiatong Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiatong katika Glottolog
- lugha ya Kiatong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiatong (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |