Kiawbono
Kiawbono ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waawbono. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiawbono imehesabiwa kuwa watu 100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiawbono haihusiani na lugha nyingine ila lugha ya Kibayono..
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiawbono kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiawbono Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiawbono katika Glottolog
- lugha ya Kiawbono kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiawbono kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |