Kibayono ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabayono. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibayono imehesabiwa kuwa watu 100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibayono haihusiani na lugha nyingine ila lugha ya Kiawbono..

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibayono kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.