Kiayabadhu ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waayabadhu kwenye rasi ya Cape York katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiayabadhu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiayabadhu iko katika kundi la Kiwik.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiayabadhu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.