Kibaatonum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Nigeria inayozungumzwa na Wabaatonum. Mwaka 1995 idadi ya wasemaji wa Kibaatonum nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 460,000. Pia kuna wasemaji 100,000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaatonum iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaatonum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.