Kibadeshi ilikuwa lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan iliyozungumzwa na Wabadeshi. Mwaka wa 2000 idadi ya Wabadeshi imehesabiwa kuwa watu 2830 lakini kwa vizazi vitatu na zaidi hawakuzungumza lugha yao ya asili, bali wanatumia lugha za Kitorwali, Kipashto au Kiushojo, yaani lugha ya Kibadeshi imesahauliwa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibadeshi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibadeshi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.