Kibagri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Pakistan inayozungumzwa na Wabagri. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibagri nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 647,000. Pia kuna wasemaji 200,000 nchini Pakistan (1998). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibagri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibagri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.