Kibakati'-Rara (pia Kiluru) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wabakati' kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kibakati'-Rara nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 12,000. Pia kuna wasemaji 11,300 nchini Malaysia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibakati'-Rara iko katika kundi la Kiland-Dayak.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibakati'-Rara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.