Kibakati'-Sara
(Elekezwa kutoka Kibakati' ya Sara)
Kibakati'-Sara (pia Kiriok) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabakati' kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kibakati'-Sara imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibakati'-Sara iko katika kundi la Kiland-Dayak. Wasemaji wa Kibakati'-Sara pia wanaweza kuelewa lugha ya Kibakati'-Rara lakini lugha yao haieleweki kwa wasemaji wa Kibakati'-Rara.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibakati'-Sara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibakati'-Sara Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibakati'-Sara katika Glottolog
- lugha ya Kibakati'-Sara kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibakati'-Sara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |