Kibambam (pia Kipita-Uluna-Salu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabambam kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibambam imehesabiwa kuwa watu 22,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibambam iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini. Kibambam ni lugha mojawapo katika mlolongo wa lahaja pamoja na Kiaralle-Tabulahan, Kipannei na Kiulumanda.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibambam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.