Kibareli-Pauri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabareli. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibareli-Pauri imehesabiwa kuwa watu 628,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibareli-Pauri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibareli-Pauri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.