Kibauria
Kibauria ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabauria. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibauria imehesabiwa kuwa watu 27,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibauria iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibauria kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibauria Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibauria katika Glottolog
- lugha ya Kibauria kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibauria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |