Kibayali ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabayali katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibayali ilitoweka. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani kwa uhakika.

Maeneo ya lugha katika pwani ya Queensland, pamoja na Kibayali (kijani nyeusi)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibayali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.