Kibekwil
Kibekwil ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo, Gabon na Kamerun inayozungumzwa na Wabekwil. Mwaka wa 2003, idadi ya wasemaji wa Kibekwil nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 9600. Pia kuna wasemaji 2460 nchini Gabon; idadi ya wasemaji nchini Kamerun haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibekwil iko katika kundi la A80.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibekwil kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibekwil Ilihifadhiwa 7 Mei 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibekwil katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bkw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibekwil kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |