Kibeti (Cote d'Ivoire)
Kibeti (pia Kieotile) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wabeti. Isichanganywe na lugha ya Kibeti nchini Kamerun. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibeti imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Wabeti wengi wameanza na kuzidi kutumia lugha ya Kianyin badala ya Kibeti. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibeti iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibeti kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibeti Archived 4 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibeti katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/eot
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibeti (Cote d'Ivoire) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |