Kibhadrawahi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabhadrawahi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibhadrawahi imehesabiwa kuwa watu 53,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhadrawahi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibhadrawahi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.