Kibhatola ni lugha nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabhatola. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibhatola imehesabiwa kuwa watu 58,200. Kuhusu uainishaji wa lugha, Kibhatola haijaainishwa.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibhatola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.