Kibhatri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabhatri. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibhatri imehesabiwa kuwa watu 217,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhatri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibhatri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.