Kibhaya ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wabhaya. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kibhaya imehesabiwa kuwa watu 70 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhaya iko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kimalvi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibhaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.